Kupiga Simu
Simu za video na za sauti za WhatsApp hazilipishwi*, hazina vipimo vya muda na zimefumbwa mwisho hadi mwisho. Piga simu ya moja kwa moja au katika vikundi kimataifa.
* Unaweza kutozwa gharama ya data. Wasiliana na mtoa huduma wako ili upate maelezo.

